My Blog List

Tuesday, November 27, 2012

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS VETA MTWARA

Makamu wa rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya mafunzo ya uboreshaji ajira pamoja na kujionea vifaa kutoka kwa mwalimu wa chuo cha Veta Mtwara Injinia Lupakisyo Mapamba, katikati ni mke wa makamu wa raisi mama Zakia Bilal.

Makamu wa rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya vifaa vilivyofungwa kwa minajiri ya kuwafundisha vijana kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Veta Injinia Zebadiah Moshi.

Makamu wa rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya fani ya uselemala kutoka kwa mnufaika wa mafunzo  Hassan Omari yatakayoboresha ajira kwa vijana hao na atakavyokabiliana na soko la ajira baada ya kumalizia mafunzo katika uzinduzi chuo cha Veta Mtwara.

No comments:

Post a Comment

Any