Ze komedi wakishambulia jukwaa katika uwanja wa mashujaa kuzindua kampeni za mgombea ubunge Bw.Murji
Bw. Murji akiteta na viongozi wa Chama hicho huku wakifuatilia ze komedi wakifanya vitu vyao.
Bw. Masanja akijidai jukwaani
Kama kawaida tunakandamiza
Chama chetu moto walisikika wakisema ze komedi
Mtondole Murji jamani Mtwara
Mlishambulia jukwaa kama hamna akili nzuri
ReplyDelete