My Blog List

Thursday, September 23, 2010

UTAFITI WA MIMBA ZA UTOTONI NA FISTULA TANDAHIMBA KWA KUWEZESHWA NA utu mwanamke AMBAO WANAFADHILIWA NA WATU WA MAREKANI

Msichana Edna Alawi wa kijiji cha Namikupa Tandahimba ni miongoni mwa wasichana ambao wamekatisha masomo baada ya kupata mimba za utotoni, hapa akimnyosha mtoto wake wa miezi 8 na nyuma yake kuna mtoto wake wa mwaka mmoja na miezi sita.
 
Kulea kusaidiana, kijana huyu alikutwa katika hospitali ya Wilaya ya Tandahimba akimsindikiza mkewe kuwatibia watoto wao mapacha.
 
Mganga mkuu wa hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Bw.Idd Msonde akiongea na waandishi wa habari hawako pichani juu ya mimba za utotoni na ugonjwa wa fistula.


Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa Namikupa wkiingia ndani ya nyumba waliyopanga kama bweni la wavulana kijijini hapo.
 
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Namikupa wakichota maji kisimani umbali wa kilometa tatu kutoka kijijini wanapoishi na kusoma.










No comments:

Post a Comment

Any