My Blog List

Thursday, September 23, 2010

MAHAFALI SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI KING DAVID MTWARA

MC wa shughuli ya mahafali ya kumaliza shule ya msingi na kidato cha nne shuleni KING DAVID mjini Mtwara hivi karibuni.

Mwanafunzi wa darasa la awali akipokea chati chake ni ishara ya kumaliza darasa hilo na kuingia dara la kwanza mwakani.
Wazazi wakifuatilia matukio katika mahafali hayo shuleni King David katika halmashauri ya Manispaa Mtwara.

Kijana huyu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari King David aliibuka mshindi wa kwanza katika somo la hisabati "mchawi wa namba huyu"




Wahitimu wa darasa la awali na wale wa darasa la saba wakifuatili matukio katika ukumbi wa shule ya sekondari King David Mtwara.



Wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari KING DAVID

No comments:

Post a Comment

Any