WAZEE WAASTAFU MKOANI MTWARA WATOA KERO ZAO ZINAZOWASUMBUA AMBAZO ZINAZUIA MAENDELEO YAO:
Wanataka matibabu bure
Uwakilishi wa wazee ngazi zote za maamuzi
Mafao ya uzeeni kwa wote
Uundaji wa mabaraza ya wazee Kimkoa
Uundaji wa mabaraza ya wazee Kitaifa
Kuachwa kwa mauaji ya wazee kwa dhana ya uchawi na ushirikina
Kuachwa kutupiwa wagonjwa wa ukimwi kwa wazee
Haki ya huduma ya jamii kwa wazee wote

No comments:
Post a Comment
Any