My Blog List

Showing posts with label Msalichuma. Show all posts
Showing posts with label Msalichuma. Show all posts

Thursday, August 11, 2011

Picasa pictures

Mnara wa kumbukumbu ya mashujaa katika makaburi ya mashujaa Naliendele Mtwara.
Picasa pictures


Mabalozi mbalimbali wakiziwakilisha nchi zao katika maadhimisho ya mshujaa mjini Mtwara.
Picasa pictures

Wananchi wa Mtwara wakishuhudia siku ya mashujaa katika makaburi ya mashujaa Naliendele mjini Mtwara.
Picasa pictures

Meya wa Manispaa ya Mtwara akiweka silaha za jadi katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa siku hiyo.
Picasa pictures

Hapa mheshimiwa Rais akitembelea na kuangalia makaburi ya mashujaa wa Tanzania waliofia nchini Msumbiji katika vita ya ukombozi wa nchi hiyo.
Picasa pictures

Mgeni rasmi wa hafla hiyo Bw. Saidi Nguyu akiwaasa wajasiriamali kutumia vizuri ruzuku walizopatiwa kwa manufaa ya biashara zao.