My Blog List

Sunday, September 12, 2010

MAMBO YALIVYOKUWA MISS TANZANIA MLIMANI CITY DAR 2010

Walembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni
Vazi la ufukweni
Ma MC wa siku hiyo Taji na Jokate

Vina wa THT wakitumbuiza Miss Tanzania 2010
Wakipita na vazi la kutokea
Dr.Ramesh Shah akitangaza mshindi wa taji la Miss Tanzania 2010
Mshindi wa taji la miss Tanzania katikati Bi.Genevieve Emmanuel,kushoto mshindi wa pili Grory Mwanga na kulia ni mshindi wa tatu Bi.Consolata Lukosi.
Mshindi wa taji la miss Tanzania 2010 akitokwa na machozi ya furaha baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
Zawadi ya mshindi wa taji la miss Tanzania mwaka 2010.


No comments:

Post a Comment

Any