My Blog List

Monday, September 6, 2010

WAJASIRIAMALI WALIOUNDA KLABU YA MTWARA BDG WAKUTANA NA VIONGOZI WA SEKTA BINAFSI

Meneja wa mradi wa BDG kutoka sekta binafsi Tanzania aliyeketi katikati Bw.Sositenes Sambua,kushoto ni mwenyekiti wa klabu ya BDG Mtwara Bw.Mlowela Mtenda na kulia ni Meneja wa SIDO Mtwara Bw.Lihepanyama katika ukumbi wa Boma Mtwara.
Meneja wa mradi wa BDG Bw. Sambua akiongea na wajasiriamali wa Mtwara walio katika klabu ya BDG Mtwara kaitka ukumbi wa Boma.
Baadhi ya wanachama wa BDG klabu Mtwara wakimsikiliza Meneja wa mradi hayuko pichani Bw.Sambua katika ukumbi wa Boma Mtwara.
Afisa mikopo wa Benki ya NMB Mtwara Bw.Pontensi Logasian akiongea na wajasiriamali kuhusu mkopo mpya kwa ajili yao unaoitwa NMB JUHUDI LOAN.
Afisa kutoka ILO Mtwara Bw. Pius Wanzala akiongea na wajasiriamali juu ya miradi mbalimbali wanayoweza kunufaika nayo kutoka katika Ofisi yake.

No comments:

Post a Comment

Any