Jokofu hili la maji ya kunywa ndilo wagonjwa wanalolilalamikia kuwa uongozi wa hospitali Ligula Mtwara kama wanaweza kubadilisha au kulifanyia usafi.
Mama mmoja wa wagonjwa hospitali hapo alikutwa akijipatia maji ya kunywa.
Tufanyeje ndiyo hali halisi
Nakunywa lakini mmmh
Mzee Mussa Abdallah ni mjasiriamali ambaye hana mikono yote miwili lakini hufanyabiashara yake ya matunda katika hospitali ya serikali Ligula mjini Mtwara.
Pembeni ni tenga analolitumia kubeba matunda na kuleta hospitalini hapo
No comments:
Post a Comment
Any