My Blog List

Friday, October 8, 2010

MAJI YA SHINGO NGOJA TUWAITE MABALOZI WOTE WA NYUMBA KUMI WATUSAIDIE KAMPENI

Mchakamchaka chinja walisika wakiimba mabalozi hawa wa nyumba kumi wa mitaa ya Wilaya ya Mtwara mjini CCM,wakielekea uwanja wa umoja kufanya mkutano.

Mabalozi wa nyumba kumi wa mitaa ya Wilaya ya Mtwara mjini wakikimbia kuwahi nafasi ya kukaa katika uwanja wa umoja kwa ajili ya kufanya mkutano wa dharura na viongozi wa chama hicho Wilaya hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Any