Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Chiungutwa walifurika katika viwanja vya ccm kijijini hapo kuadhimisha siku ya afya ya akili Duniani ambayo huwa inaadhimisha Octoba 10, kila mwaka, hapa nchini yameandaliwa na BasicNeeds Tanzania na Ofisi zao zipo Mtwara mjini.
Wananchi wakifuatilia mambo yanavyokwenda kiwanjani hapo ccm Chiungutwa kuandaliwa na BasicNeeds Tanzania.
Meneja wa mradi kutoka shirika la BasicNeeds Tanzania ambao ndiyo wandaaji wa sherehe hizo kitaifa Bw.Malembo Makene akitoa salamu za siku hiyo.
Msichana ni kati ya waathirika wa afya ya akili ambao BasicNeeds Tanzania inawahudumia kimatibabu na uangalizi
No comments:
Post a Comment
Any