My Blog List

Sunday, October 10, 2010

BASICNEEDS TANZANIA WANAVYOJITAHIDI KUTOKOMEZA MATATIZO YA AFYA YA AKILI KATIKA NCHI YETU

Baadhi ya waathirika wa afya ya akili wakifuatilia sherehe yao ikiendelea katika kijiji cha Chiungutwa Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara zilizoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la BasicNeeds Tanzania zilizofanyika jana kijijni hapo.

No comments:

Post a Comment

Any