Huyu ni miongoni mwa waathirika wa afya ya akili ambaye ameshapata nafuu kabisa na anaendelea na shughuli zake kama kawaida anafahamika kama Bw.Hassan Bakari Champunga ambaye aishi Wilaya ya Tandahimba, hapa akitoa ushuhuda kwa wananchi kuwa yuko fiti katika shghuli za maendeleo.
Bi.Mwanahamisi Dadi ni mlengwa aliyepona na maradhi ya afya ya akili akisoma shairi mbele ya wananchi waliofurika uwanja wa ccm Chiungutwa Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara.
Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo Bi.Thabita Kilangi aliyejishika kidevu kutoka katika Ofisi ya Ras Mkoa wa Mtwara akipata maelezo kutoka kwa afisa habari wa BasicNeeds Mtwara Bw.Suleiman Lenga kuhusu wanavyofanya shughuli zao kuwahudumia wagonjwa wa afya ya akili nchini.
Mgeni rasmi akionyeshwa mazao yaliyolimwa na waathirika wa afya ya akili waliopata nafuu.
No comments:
Post a Comment
Any