Bw. Mulji Mbunge wa Mtwara mjini akiongea na viongozi wa vyama tisa vilivyoungana kusema gesi kwanza vyama baadaye |
Bw. Mulji akiwa mbele ya viongozi wa vyama pamoja na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Mtwara Bw. Chinkawene |
Umati uliofulika katika ukumbi wa Pentecoste Mtwara mjini kusikiliza tamko la Mbunge Bw. Mulji kuhusu maandamano ya kupinga gesi isipelekwe Dar es salaam kabla haijawaniufaisha wananchi wa Mtwara |
No comments:
Post a Comment
Any