My Blog List

Tuesday, September 11, 2012

MIDAHALO YA KUCHANGIA MAONI KUHUSU UWAZI NA UWAJIBIKAJI KATIKA MAJIMBO YA LULINDI NA MASASI


Proneth Kisaro katibu tawala Wilaya ya Masasi akiwa pamoja na Faraja Mbena katika ukumbi wa mdahalo jimbo la Lulindi Masasi

Wananchi wakifuatilia mdahalo ukumbini katika shule ya sekondari Chiungutwa Masasi

Wananchi katika ukumbi wa miduleni Masasi Mjini

No comments:

Post a Comment

Any