Maisha bora kwa kila mtanzania!
kweli tutafika? haya mambo ya haki ya elimu haya
kweli tutafika? haya mambo ya haki ya elimu haya
Class of 2012
Hawa hapa ni wanafunzi wa St. Flolence academy ambayo ipo katika ardhi hii hii ya Tanzania.
Hawa hapa ni wanafunzi wa St. Flolence academy ambayo ipo katika ardhi hii hii ya Tanzania.
Hapa Mbeya
Hapa Mbeya
hawa ni vinyago au ndipo shule hapo wanasoma_
Wanasoma chini ya Mbuyu eeeh? ndio maana baadhi
ya wanafunzi wanapata maradhi ya kuweweseka miti mikubwa kama hii huwa
haikosi Mashetani Pepo wabaya kasheshe kweli
The irony of it ni kwamba serikali imewekwa madarakani na wazazi wa hao wfunzi. nani alaumiwe?
No comments:
Post a Comment
Any