My Blog List

Wednesday, September 12, 2012

WAANDISHI WA HABARI MTWARA WAANDAMANA KUPINGA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI DAUD MWANGOSI WA IRINGA

Wahabari wa Mkoa wa Mtwara wakiandamana


Watuma salamu katika vituo mbalmbali vya redio hawakuwa nyuma katika maandamano hayo


Faraji Feruzi wa Redio Pride akiwa katika maandamano hayo

Katibu wa klabu ya waandishi wa habari ya Mtwara akionyesha bango lake lenye ujumbe mzito

No comments:

Post a Comment

Any