My Blog List

Wednesday, September 5, 2012

KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA MTWARA CHAFANYIKA JANA UKUMBI WA MAKONDE BEACH

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kamati ya ushauri Mkoa wa Mtwara wakiwa ukumbini hawa ni kulia ni mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Mtwara Bi. Magreth na kushoto mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Newala Bw. Chikota.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bw. Joseph Simbakalia akifungua kikao hicho


Kushoto ni mbunge wa Mtwara mjini Bw. Hasnein Mulji akifuatilia kikao hicho kwa makini

Viongozi na wajumbe wa kikao wakipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa NDC shirika la maendeleo la taifa kuhusu maendeleo ya miradi ya Mtwara corridor.

No comments:

Post a Comment

Any