My Blog List

Saturday, August 25, 2012

MDAHALO WA KUELEKEA KUCHANGIA MAONI YA KUWA NA KATIBA MPAYA YENYE MAFANIKIO-NANYAMBA MTWARA

 Mdahalo wa katiba ulifanyika katika ukumbi wa kata Nanyamba Mtwara
 Matengeneza na maunganisho ya vidhiti umeme ili mdahalo uanzae wa maoni ya katiba mpya
Wananchi wa Nanyamba wakiwa ukumbini kuchangia mawazo kuelekea kuchangia maoni ya katiba mpya
Picasa pictures