My Blog List

Saturday, August 25, 2012

MDAHALO MWINGINE WA KATIBA UKUMBI WA PENTEKOSTE MTWARA MNINI

Wananchi wa Mtwara mjini katika ukumbi wa pentecoste wakishiriki mchakato wa kuchangia maoni ya katiba mpya

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Ndile akifungua mdahalo wa katiba Mpya ulioandaliwa na Mtwangonet kwa ufadhlili wa The foundation for civil society

Mdahalo wa katiba mpya unaendelea katika ukumbi huu wa pentecoste