Afisa wa TRA Mtwara Bw.Flavian Byabato akitambulisha wageni waliohudhuria
Hafla hiyo ukumbini hapo, kushoto ni meneja msaidizi wa taasisi hiyo Bw.Rashid Herith
Kushoto kabisa ni mwalimu mlezi wa klabu ya kodi Sekondari ya sabsaba Bi.Odilia Mwangu,kulia ni mwalimu mlezi kutoka Sekondari ya Mangamba Bw.Said Kasimu.
Meneja msaidizi wa TRA Mtwara Bw.Rashid Herith kushoto alishindwa kuzuia furaha yake
Pale alipojikuta akiserebuka Bongo flava na wanafunzi kutoka Sekondari ya Umoja.
Wanafunzi wa Mtwara girls wakionyesha igizo lao linahusu masuala ya kodi
Mbele ya mgeni rasmi.
MC wa shughuli hiyo ambaye pia ni afisa wa
TRA Mtwara Bi.anna Mwageni.
Meneja msaidizi wa TRA Mkoani Mtwara Bw.Rashid Herth akitoa hotuba ya uzinduzi rasmi wa klabu za kodi katika shule za Sekondari kumi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Veta Mtwara.
No comments:
Post a Comment
Any