Maji yamefunga kabisa makutano ya barabara itokayo Bima kuelekea Shangani na Chuo cha ualimu Mtwara TTC |
BAADHI YA NYUMBA ZILIZOEZULIWA MAPAA |
MAJI KILA KONA |
HATA SEHEMU ZA BIASHARA HAZIKUPONA |
HILI NI ENEO LA NYUMA YA BENKI YA EXIM MTWARA |
URAIANI NIKO NI MAJONZI |
HAPA PALIKUWA NA KANISA LA KIROHO MAENEO YA KWA KAMBELENJE MTWARA MJINI |
BARABARA ZOTE ZIMEFUKIWA NA MAJI |
SHULE YA MSINGI LIGULA NAYO IMEATHIRIWA WA MVUA |
No comments:
Post a Comment
Any