Mzee Mohammed Makoko kada wa CCM Mtwara vijijini akiongea na waandishi wa habari wa Mtwara katika ukumbi wa klabu yao kuhusu kauli aliyoitoa Mbunge wa jimbo hilo kuwa maandamano yaliyofanyika hivi karibuni Mtwara mjini kupinga gesi kupelekwa Dar es salaam, wananchi wa Mtwara vijijini ambako ndiko gesi iliko hawahusiki na maandamano hayo kwani yeye alishaongea nao na wanasema kuwa ipelekwe tu. |
No comments:
Post a Comment
Any