Wananchi wa Mtwara wakishuhudia Nyumba ya Bw. Salimu Hassan mkazi wa Naliendele maili kumi iliyoko mtaa wa Chikongola akiteketea kwa moto ambapo watu wawili wamejeruhiwa na kufikishwa katika Hospitali ya Mkoa Ligula kwa matibabu, kwa mujibu wa mashuhuda vitu vilivyoweza kuokolewa ni Tv moja, godoro na pikipiki lakini vitu vingine vyote vimeteketea kwa moto. |
No comments:
Post a Comment
Any