Wanachama wa klabu ya waandishi wa habari Mtwara wakifuatilia uchaguzi mkuu wa viongozi katika ukumbi wa klabu hiyo mjini Mtwara |
Bw. Masau Bwire akiongea mbele ya wanachama wa klabu ya waandishi wa habari Mtwara na yeye ndiye aliyesimamia uchaguzi mkuu wa viongozi |
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Lindi Bw. Abdulaziz Ahmed akihakiki kula kabla ya kwenda kuhesabiwa |
Mwenyekiti mpya wa klabu ya waandishi wa habari ya Mtwara Bw. Hassan Simba akitoa maneno ya nasaha punde tu baada ya kuchaguliwa. |
Aidha kamati tendaji ilichaguliwa yenye wajumbe wanne ambao ni Bw. Bryson Mshana, Bi. Judith Ngonyani hawa wote kutoka kituo cha redio cha Safari Fm, hata hivyo wengine ni Bw. Issa Likwinya na Mary Sanyiwa.
No comments:
Post a Comment
Any