My Blog List

Monday, January 17, 2011

SAMAHANI SANA WAPENDWA WASOMAJI WA BLOG YETU YA MTWARA NILIKUWA SAFARI NDIYO MAANA HAMKUWEZA KUPATA MATUKIO SASA NIMERUDI

                                         
Wakazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wakiangalia meli kubwa ya mizigo (TERRABONA) iliyonasa kwa muda katika tope baada kukosea njia ya kutoka Bandarini hapo hivi karibuni katika ferri ya Mtwara.
                                         
Boti ya kuongozea meli kubwa zinazoingia na kutoka katika bandari ya Mtwara ikiwa imenasa pembezoni katika mchanga katika ferri ya Mtwara na kushindikana kutoka takribani miezi sita sasa imepita na hakuna jitihada zozote za kuinusuru mpaka sasa.
                                   Afisa biashara wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Bw. George Mpogomi akiongea na wafanyabiashara wa nafaka katika soko kuu la Mtwara, mkutano wao ulifanyikia ukumbi wa Boma, katikati ni Afisa habari wa Halmashauri hiyo Bi. Jamadi Omari na kulia kabisa ni meneja masoko wa soko kuu Bw. Issa Mbaruku    

Baadhi ya wafanyabiashara wa nafaka soko kuu la Mtwara wakimsikiliza Afisa biashara wa Manispaa Bw. Mpogomi hayupo pichani katika mkutano wa kuwekana sawa kuhusu uvumi ulioenezwa na wafanyabiashara hao kuwa Manispaa kuwataka kuhama sokoni hapo.

            Ujenzi kama huu huwa ni hatari sana lakini mpaka sasa hakuna anayeiona mpaka janga la moto litakapotokea, banda hili lilikutwa na mpiga picha wetu  ambalo lipo karibu kabisa na Ofisi mbalimbali za serikali ikiwemo ya Mkuu wa Mkoa na Halmashauri zote mbili ya Manispaa ya Mtwara na Halmashauri ya Mtwara vijijini

UWEKEZAJI MAENEO MAZURI YA FUKWE ZENYE MCHANGA MWEUPE KAMA SUKARI MTWARA

MSANGA MKUU BEACH TAMBALALE

Eneo hekari 5 na nusu bei maelewano lakini inaanzia milioni 20
Eneo hekari 10 milioni 25
Eneo hekari 45 milioni 85 kuna kisima cha maji baridi cha kudumu

BEACH YA MNETE

Eneo hekari 12 milioni 25
Eneo hekari 8 milioni 30
 Mawasiliani simu namba 0713/0787-609255
Email:msalichumag@gmail.com

NYUMBA NA KIWANJA VINAUZWA ENEO LA MIKINDANI Plot namba 17B nyumba namba 19 Magengeni street opp. Jengo la Edukaid bei milioni 25,000,000. Mazungumzo yapo, namba za simu za hapo juu.

KWA MAHITAJI YAKO YA VIWANJA KUJENGA KITUO CHA MAFUTA, SHULE , HOSPITALI NA UWEKEZAJI WA AINA YEYOTE TUONE KWA NAMBA. 0713/0787- 609255
eMAIL msalichumag@gmail.com.
KARIBUNI MTWARA

No comments:

Post a Comment

Any