My Blog List

Friday, August 31, 2012

MKUTANO WA WADAU WA ZAO LA UFUTA KATIKA UKUMBI WA VETA MTWRA

Mwezeshaji wa mkutano wa wadau wa zao la ufuta Dkt. Lwambuka akikaribisha wageni ukumbini hawapo pichani

Wadau wa zao la ufuta wakifuatilia yanayoendelea katika ukumbi wa VETA Mtwara

Dkt. Omari Mponda kutoka kituo cha utafiti wa mazao cha Naliendele Mtwara

Baada ya ufunguzi wa mkutano rasmi mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bw. Josseph Simbakalia alipiga picha ya pamoja na washiriki ambao ni wadau wa zao la ufuta

No comments:

Post a Comment

Any