My Blog List

Sunday, July 8, 2012

WALIMU WANAPOTETEA MASLAHI YAO



Katibu mkuu wa chama cha walimu manispaa ya Mtwara Bw. Hassani Said akitoa maelezo jinsi gani wamejaribu kutaka kukaa meza moja na serikali bila mafanikio, pembeni ni mwenyekiti Bw.Charles Milanzi.