Picasa pictures
Mkurugenzi wa manispaa ya Mtwara Bi.Magreth Nakainga akifungua mdahalo ulioandaliwa na MRENGO kuhusu kushuka kwa ufaulu wa wanafunzi Mkoani Mtwara katika ukumbi wa chuo cha ualimu ufundi Mjini hapa, kushoto ni mwenyekiti wa Mrengo Bw. Adinani Mbwana.