My Blog List

Tuesday, October 11, 2011

ALIYESUMBULIWA NA MAPEPO KWA MIAKA MINGI ATOA SHUHUDA

Picasa pictures
Bi. Prisca Dickson Hokororo aliyesumbuliwa na mapepo kwa muda wa miaka 25, alivyotambua kuwa kumpokea bwana Yesu ni suluhisho la yote baada ya kukutana na huduma ya TAG SHANGANI MIRACLE TAMPLE kwa mchungaji George Musa na ndipo alipokutana uso kwa uso na simba wa kabila la Yuda na kupokea uponyaji wake.