My Blog List

Friday, January 4, 2013

CHUO KIKUU HURIA MTWARA WAPATA ENEO JIPYA

Makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Bw. Tolly Mbwette akiongea na waandishi wa habari Mtwara hawako pichania juu ya mipango mbalimbali ya chuo hicho na kubwa ni kupata eneo lao ambalo liko maeneo ya mnarani mjini hapa, zamani lilijulika kama klabu Blantaya

Eneo jipya la Chuo Kikuu Huria tawi la Mtwara maeneo ya mnarani zamani Blantaya klabu

Mkurugenzi wa Kituo cha Chuo Kikuu Huria Mtwara Bw. Cosmas Haule akiongea na waandishi wa habari wa Mtwara hawako pichani juu ya kupata eneo jipya na maendeleo ya chuo hicho Mtwara, kushoto kabisa rais wa serikali ya wanafunzi Bw. Francis Mkuti
Picasa pictures

No comments:

Post a Comment

Any