My Blog List

Tuesday, September 4, 2012

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MTAA CHIKONGOLA MTWARA

Nyumba ikiteketea kwa moto mtaa wa Chikongola Mtwara

Gari la zima moto likiingia katika eneo la tukio

Magari ya zima moto yakiwepo katika eneo la tukio huku wameishiwa maji


Wananchi wa Mtwara wakishuhudia Nyumba ya Bw. Salimu Hassan mkazi wa Naliendele maili kumi iliyoko mtaa wa Chikongola akiteketea kwa moto ambapo watu wawili wamejeruhiwa na kufikishwa katika Hospitali ya Mkoa Ligula kwa matibabu, kwa mujibu wa mashuhuda vitu vilivyoweza kuokolewa ni Tv moja, godoro na pikipiki lakini vitu vingine vyote vimeteketea kwa moto.

No comments:

Post a Comment

Any