Picasa pictures
Wazee hawa ni baadhi ya mashujaa ambao bado tuko nao wakiwa katika viwanja vya makaburi ya mashujaa Naliendele mjini Mtwara wakisubiri kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Julai 25, 2011.
No comments:
Post a Comment
Any